maadhisho hayo yalifanyika katika mji mtukufu wa Qom katika ukumbi wamikutano wa kimataifa wa Qudsuliopo katika Chuo kikuu cha Hekima na Mafunzo ya dini cha Imam Khomein. maadhimisho hayo ya kumkumbuka ulamaa na mwanazuoni mwenye asili yakihindi ambaye alijitolea muda nana elimu yake kwa ajili ya kufundisha na kusambaza mafunzo ya mtumeMuhammad (s.a.w.)na ahali zake maasumkwanzia Tanzania na kusambaa Afrika mzima na hata kuvuka bara. mwanazuoni huyu ndiye muasisi wa Bilal Muslim Mission ofTanzania,taasisi iliyofanya juhudi kubwa kutangazauislamu halisi wa mtume Muhammad (s.a.w).maadhimisho hayo yalihudhuliwa na shahsia tofauti kutoka nchimbalimbali akiwepo wakiwepo wana wa Hayati SayyidSaeed Akhtar kutoka Tanzania na Canada pia alihudhuria Katibu mkuu waBilal Muslim pia Imam wa Masjid ya Shia magomeniSheikh Musabah Swaleh mgeni rasmi wa maadhimisho hayo alikuwa ni Rais wa Al-MustafaInternational University Ayatolah Aarafi akiwa pamoja namwenyeji wao Hujatul islam Sayyed Hashmiyaan ambaye ni Raisi waChuokikuu cha Hekima na Mafunzo ya dini cha Imam Khomein.
8 Machi 2012 - 20:30
Msimbo wa Habari: 301495
Makao makuu ya Al-Mustafa Internationl Uversity leo yamefanya maadhimisho makubwa ya kumbukumbu za Sayyid Said Akhtar Rizvi pamoja na Abdul haad Alfadhilii